Películas
Les avantages du territoire (Français)
Quels sont les avantages de la sécurité foncière pour les peuples autochtones, l'environnement et la société dans son ensemble? Cette vidéo peut être diffusée aux communautés, aux…
Recourir à la loi (Français)
Cette vidéo montre trois situations juridiques en Indonésie, en Tanzanie et au Paraguay, ayant eu recours à la loi nationale, régionale ou internationale. La vidéo montre également les avantages…
TUGDAAN - An Indigenous High School
The TUGDAAN Mangyan Center for Learning and Development is an educational institution dedicated to serve the 8 Mangyan tribes of Oriental and Occidental Mindoro, The Philippines. Tugdaan High School,…
Les APAC et le Consortium APAC (Français)
Les peuples autochtones et les communautés locales du monde entier protègent et prennent soin de leurs territoires, leurs terres et leurs eaux, comme une question de survie, de santé et de…
Bande Annonce - Les APAC et le Consortium APAC (Français)
Voici la bande annonce du film: • Les APAC et le Consortium APAC. https://youtu.be/XO0XusgD3V0 Les peuples autochtones et les communautés locales du monde entier protègent et prennent soin de…
Tuitunze Asili, Kutetea Maisha (Swahili)
Filamu hii imeandaliwa na LifeMosaic, na viongozi wengi wa kiasili, watengeneza filamu na washauri kutoka Afrika, Asia, Amerika Kusini, na Polynesia. Filamu Inasimulia hadithi ya vitisho kwa…
Wanawake Mashujaa (Swahili)
Wanawake asili wa Maasai Tanzania waliongoza harakati za kulinda maeneo yao. Filamu hii ni kuhusu wanawake wenye nguvu walio ongoza harakati za haki ya ardhi kwa watu asilia. Bila indini ya wanajamii,…
Utumiaji wa Sheria (Swahili)
Filamu hii inaangalia kesi tatu za kisheria katika mataifa ya Indonesia, Tanzania na Paraguay ikitumia sheria za kitaifa na kimataifa. Pia inaangazia faida na hasara za kuenda kotini. Dakika kumi na…
Himaya za Maisha : Utangulizi (Swahili)
Meneo ya maisha ni nini? Filamu hizi ni kwa ajili ya nani? jamii inaweza vipi kutumia filamu katika vifaa vya kifurushi hiki? Kama mwelekezaji, inafaa kutazama filamu fupi ya utangulizi kabla ya…
Upokonyaji wa Ardhi (Swahili)
Jamii asili dunia nzima wanaona ardhi zao zikitishiwa na sekta za madini, viwanda na kilimo na pia miradi ya maendeleo na kuhifadhi utalii. Filamu hizi zinatazama viwango vya vitisho, wanaoongoza…
Mpango wa Maisha (Swahili)
Misak ni jamii asilia ambao himaya yao inapatikana Cauca, Colombia. Kama jamii asili nyingi za Latin Amerika, Misak walipoteza himaya zao nyingi katika siku za ukoloni. Katika miaka ya 1970 walianza…
Mbinu za Kampuni (Swahili)
Filamu hii inaelezea mbinu ambazo makampuni yanatumia ili kuwashawishi wanajamii kuwakubalia na kuwaunga mkono katika miradi yao. Na pia inaonyesha kuwa mbinu hizi zinatumika katika sekta mbalimbali…