Transcribe_404: [content_videos]

Hekari nusu Milioni za Matumaini
Kaskazini Mahariki ya Guatemala, miongoni mwa uharibifu wa kale wa Maya na misitu ya mvua, kuna msitu mkubwa dunia nzima uliotunzwa na jamii. filamu hii inaeneza habari njema na hadidhi kuhusu jinsi gani jamii asilia na jamii kwa ujumla wanavyoshirikiana kuulinda na kudumisha msitu wenye hekari nusu milioni. hili limeta faida za imaisha na watu walio mashinani. Dakika kumi na nne 12Kaskazini Mahariki ya Guatemala, miongoni mwa uharibifu wa kale wa Maya na misitu ya mvua, kuna msitu mkubwa dunia nzima uliotunzwa na jamii. filamu hii inaeneza habari njema na hadidhi kuhusu jinsi gani jamii asilia na jamii kwa ujumla wanavyoshirikiana kuulinda na kudumisha msitu wenye hekari nusu milioni. hili limeta faida za imaisha na watu walio mashinani. Dakika kumi na nne 12

Umuhimu wa Himaya
Ni nini faida au umuhimu wa hati-miliki ya ardhi kwa jamii asili? umiliki huu una umuhimu gani kwa mazingira na nchi kwa ujuma? Dakika kumi na nne 9 Filamu hii inaweza kuonyeshwa kwa jamii, maafisa wa serikali na umma kwa ujumla. Hii yote ni kwa madhumuni ya kueneza ujumbe kuhusu umuhimu wa umiliki rasmi wa ardhi kwa jamii asilia, mazingira na jamii kwa ujumla. Ni nini faida au umuhimu wa hati-miliki ya ardhi kwa jamii asili? umiliki huu una umuhimu gani kwa mazingira na nchi kwa ujuma? Dakika kumi na nne 9 Filamu hii inaweza kuonyeshwa kwa jamii, maafisa wa serikali na umma kwa ujumla. Hii yote ni kwa madhumuni ya kueneza ujumbe kuhusu umuhimu wa umiliki rasmi wa ardhi kwa jamii asilia, mazingira na jamii kwa ujumla.

Utumiaji wa Sheria
Filamu hii inaangalia kesi tatu za kisheria katika mataifa ya Indonesia, Tanzania na Paraguay ikitumia sheria za kitaifa na kimataifa. Pia inaangazia faida na hasara za kuenda kotini. Dakika kumi na nne 13Filamu hii inaangalia kesi tatu za kisheria katika mataifa ya Indonesia, Tanzania na Paraguay ikitumia sheria za kitaifa na kimataifa. Pia inaangazia faida na hasara za kuenda kotini. Dakika kumi na nne 13

Mawasiliano
Filamu hii inaangalia jinsi jamii tatu kutoka Indonesia, Tanzania na Ecuador wanavyotiumia redio, mtandao, kuhusisha vyombo vya habari vya kitaifa na vya kimataifa, na pia kutumia Filamu vya mapambano yao ili kuelezea mapambano yao mashinani na duniani kote. Dakika kumi na nne 12

Mpango wa Maisha
Misak ni jamii asilia ambao himaya yao inapatikana Cauca, Colombia.Kama jamii asili nyingi za Latin Amerika, Misak walipoteza himaya zao nyingi katika siku za ukoloni. Katika miaka ya 1970 walianza mchakato wa kurudisha mashamba yao na walifanikiwa kupata kwa urasmi haki ya ardhi zao kutoka kwa serikali . Tangu wakati huo jamii ya Misak waliendeleza Mpango wa Maisha kama kifaa cha kuamua maendeleo kuhakikisha faida zao zitahifadhiwa kwa vizazi vijavyo. Dakika kumi na nne 23Misak ni jamii asilia ambao himaya yao inapatikana Cauca, Colombia.Kama jamii asili nyingi za Latin Amerika, Misak walipoteza himaya zao nyingi katika siku za ukoloni. Katika miaka ya 1970 walianza mchakato wa kurudisha mashamba yao na walifanikiwa kupata kwa urasmi haki ya ardhi zao kutoka kwa serikali . Tangu wakati huo jamii ya Misak waliendeleza Mpango wa Maisha kama kifaa cha kuamua maendeleo kuhakikisha faida zao zitahifadhiwa kwa vizazi vijavyo. Dakika kumi na nne 23

Wanawake mashujaa wa Ololosokwan
Filamu hii ni kuhusu wanawake wenye nguvu walio ongoza harakati za haki ya ardhi kwa watu asilia. Bila indini ya wanajamii, sehemu kubwa ya ardhi ya wanajamii hao ilichukuliwa. Pindi wanawake katika jamii hiyo walipogundua kuwa jitihada za kulinda ardhi yao ilishindikana, waliamua kuchukua maamuzi mikononi mwao. Wanawake hao walitumia muamko wa kusimama, kuandamana na shinikizo la kisiasa ili kuongoza harakati katika kulinda maeneo yao. Dakika kumi na nne 15Filamu hii ni kuhusu wanawake wenye nguvu walio ongoza harakati za haki ya ardhi kwa watu asilia. Bila indini ya wanajamii, sehemu kubwa ya ardhi ya wanajamii hao ilichukuliwa. Pindi wanawake katika jamii hiyo walipogundua kuwa jitihada za kulinda ardhi yao ilishindikana, waliamua kuchukua maamuzi mikononi mwao. Wanawake hao walitumia muamko wa kusimama, kuandamana na shinikizo la kisiasa ili kuongoza harakati katika kulinda maeneo yao. Dakika kumi na nne 15

Haki za Ardhi
Filamu hii inaelezea na kulinganisha mikataba ya jamii katika ardhi ya umma, ardhi za kibinafsi na umiliki wa maeneo ya kijumuiya. Ilamu hii ni maalumu kwa jamii ambazo haki za ardhi bado hazijatambulika, kuwasaidia kujua ni haki gani wanazihitaji. Dakika kumi na nne 14

Mbinu za Kampuni
Filamu hii inaelezea mbinu ambazo makampuni yanatumia ili kuwashawishi wanajamii kuwakubalia na kuwaunga mkono katika miradi yao. Na pia inaonyesha kuwa mbinu hizi zinatumika katika sekta mbalimbali duniani kote. Dakika kumi na nne 14 Wakati jamii zinapofahamu kuhusu mbinu hizi na kujitayarisha kukabiliana nazo. Wanajamii wanaweza kujipanga kwenye nafasi zao na kushikilia maamuzi yanayohusu ardhi kuhusishwa na maendeleo ya nje.

Upokonyaji wa Ardhi (Land Grabs Swahili)
Je, unyakuzi wa mashamba ni nini? Ni kwa nini unyakuzi huu unafanyika na ina madahra gani? Jamii asili dunia nzima wanaona ardhi zao zikitishiwa na sekta za madini, viwanda na kilimo na pia miradi ya maendeleo na kuhifadhi utalii. Filamu hizi zinatazama viwango vya vitisho, wanaoongoza kufanya vitisho hivyo na pia athari za uporaji wa ardhi ulimwenguni. Katika filamu hizi tunasikia taarifa kutoka wanajamii bara la Asia, America ya kusini na Africa ambao ndio wa kwanza kupata dhoruba la athari za unyakuzi wa himaya zao. Himaya za Maisha - Mfululizo wa filamu za watu wa Asili Vifurushi vya Himaya ya Maisha vinatolewa kutumika bure kwa maelfu ya jamii tofauti duniani kote ambako himaya yao zinaongozwa kwa mtindo wa maisha yao ya kijamii. Vifaa vya Himaya ya Maisha vinashirikishwa bure kwa maelfu ya jamii tofauti tofauti dunia nzima ambao himaya zao ni muhimu katika maisha yao.

Utangulizi - Himaya za Maisha (Introduction - Swahili)
Himaya za Maisha : Utangulizi - Meneo ya maisha ni nini? Filamu hizi ni kwa ajili ya nani? jamii inaweza vipi kutumia filamu katika vifaa vya kifurushi hiki? Dakika kumi na nne 4 Himaya za Maisha - Mfululizo wa filamu za watu wa Asili Vifurushi vya Himaya ya Maisha vinatolewa kutumika bure kwa maelfu ya jamii tofauti duniani kote ambako himaya yao zinaongozwa kwa mtindo wa maisha yao ya kijamii. Vifaa vya Himaya ya Maisha vinashirikishwa bure kwa maelfu ya jamii tofauti tofauti dunia nzima ambao himaya zao ni muhimu katika maisha yao.